Mwaka 2015 hakuna white party?

Mwaka 2015 hakuna white party?

...hii party imekua kama utamaduni wa watu wa jf ( baadhi lkn) kukutana sehemu kujuliana hali
...je mwaka huu 2015 itafanyika lini?

Cc@kakakiiza
lara 1
@ mtambuzi
watu8
madame b
paloma
cacico
asprin...
Na wengineo....

Binafsi mwaka huu nataka niwepo na mai bebi@preta....
present jana, leo na kesho! Uwiiiiiiiiiiiii naachaje kuja! Nimemmiss Mtambuzi when you guys talks about parties, loool! Nitakuwepo na my hubby Asprin
 
Last edited by a moderator:
yaani best unawaza party badala ya kuwaza pesa heeeeeee?
 
kma ndo hilo yote kheri sijajua kuwa kwenye party kunakuwa na mchongo asante kunijuza hili

ila mwaka huu watu wako bize sijui kama party itakuwapo
kwenye party nyingine kuna channels za hela......
 
Back
Top Bottom