Kuna kupigwa juu kwa juu na wajanja wa town mpaka na nyumba ukauza, styles za kupiga ziko nyingi. Kuna uwekezaji mbaya unaoweza kukufilisi, hata multibillion dollars companies huwa zinafilisika. Kuna matumizi reckless either na mafariki au na girlfriend/boyfriend ila hayo yanafilisi pesa tu nyumba inasalimika.Hivi kweli jamani? Kwa hii Tanzania mtu akaachiwa urithi wa karibu milioni 900, nyumba ya thamani ya milioni 200 pamoja na mali nyingine kama gari halafu vyote vikaisha ndani ya miaka saba tu? Ni kitu gani kinaweza kufanyika hadi utajiri wote upotee kwa haraka namna hiyo?
Baada ya zile meseji zake za “Bro nisaidie elfu 80, elfu 50” na kadhalika bila kurudisha chochote, nikafuatilia nikagundua kuwa tayari amepukutika kabisa. Hata ile nyumba aliyoachiwa hana tena. Kila nikiona meseji zake najisikia kuchoka tu.
Cha kushangaza ni kwamba mwanzo kabisa sikuwahi kuwa na shaka naye, alikuwa mtu wa mawazo ya uwekezaji na biashara. Sasa sijui hata kilichotokea mpaka akafika hapo.
Matajiri wa mchongo wa jfUmaskini ni kitu kibaya sana. Yani million 900 sijui billion wenyewe mnaona ni nyingiiii. Hahahahahaaaaa "thed weld" dwellers, the 99% na hand to mouth mnatia huruma sana.
adriz de mbusii
Jomba una confidence hatari hadi kuidhihaki 900m cash. Hiyo ni hela unaenda nayo popote duniani na kufungua biashara nzuri inayoeleweka. Tena nchi za kajamba nani unapewa na uraia kabisa kama utaiwekeza kwao.Umaskini ni kitu kibaya sana. Yani million 900 sijui billion wenyewe mnaona ni nyingiiii. Hahahahahaaaaa "thed weld" dwellers, the 99% na hand to mouth mnatia huruma sana.
adriz de mbusii
Kweli kabisa mkuu. Hela ni nyingi ukiwa hujaishika. Pia malezi ya wazazi matajiri wa kibongo huwa hawafundishi watoto wao mambo ya hela mapema ndo maana ikitokea mzazi kaaga dunia mtoto hajui afanyeje.Kuna kupigwa juu kwa juu na wajanja wa town mpaka na nyumba ukauza, styles za kupiga ziko nyingi. Kuna uwekezaji mbaya unaoweza kukufilisi, hata multibillion dollars companies huwa zinafilisika. Kuna matumizi reckless either na mafariki au na girlfriend/boyfriend ila hayo yanafilisi pesa tu nyumba inasalimika.
NB: Milioni 900TSh ni nyingi kama haujawahi kuishika lakini ukiitia mkononi utabaini kuwa ni pesa ya kawaida na usipokuwa na mahesabu mazuri utashangaa imeisha vipi.
Upo sahihi, pesa ni taarifa. Masikini udhani pesa ni pesaUmaskini ni kitu kibaya sana. Yani million 900 sijui billion wenyewe mnaona ni nyingiiii. Hahahahahaaaaa "thed weld" dwellers, the 99% na hand to mouth mnatia huruma sana.
adriz de mbusii