Mwaka 2018 alirithi account yenye Bilioni kasoro na mali zenye thamani lakini kaanza kutuma meseji za vizinga, Simwelewi kabisa

Wewe mwenyewe maskini tu.Mtu kukuomba 80,000/= au 50,000/= mpaka umfungulie uzi??Kama unayo mpe, kama huna mwambie huna....Hatakufa sababu umemnyima 50,000/= na tusipoteze muda kudiscus au kujaji watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…