Mwaka 2018, Tanzania ndio ina raia wengi maskini ndani ya EAC na SADC

Peace,unity and inclusivity is far more important than economic activity. Libya was a first world like country in africa with free hospitals, free electricity and water, free housing etc and almost everyone was a millionare. But they did not have unity or peace. Now they are worse than the poorest country
 
hahaha nilidhani kila mtu ana ardhi yake na jinsi ya kujitaftia mali😀😀😀...mtu mshirikina sio mtu wa kumtilia maanani kamwe...mtu anayeamini kuwa viungo vya binadamu vitamletea mali huyo sio mtu wa kumwamini
 
Sasa mtu msomi atatafuta kujua asilimia, yaani idadi ya watu maskini/ total population multiply 100.
Now do that for Tz and K. Alafu utashangaa, venye mlivyo na asilimia kubwa ya maskini
 
Tanzania kama kawaida hawakosi on such in fact hawa ni wa kuvuta nyuma EAC na SADC(Tz acts as a dumping ground) kiuchumi .
 
Kwa idadi ya milioni 19m out of 50+ hii taarifa nadhani inazungumzia habari ya ufukara.Kuna masikini na fukara .Masikini ni yule anaemiliki mlo wake angalau mmoja kwa siku .Tanzania masikini yaweza kua 40m+ .Maana halisi ya kutokua masikini ni kuweza kumudu milo 3 ,huduma za afya bila kuchangiwa,Karo za shule na kuweza kusafiri popote unapohitaji.Pia kipato chako kiwe ni cha kuweka akiba.Sasa hii 19m nadhan ni mafukara
 
Lakini upende kuleta habari njema pia juu ya Tanzania sio mbaya tu kama huna ufumbuzi.
 
Lakini upende kuleta habari njema pia juu ya Tanzania sio mbaya tu kama huna ufumbuzi.
Kwa Mtanzania mwenye akili, hii habari ni nzuri maana inachochea jitihada badala ya kuishi mkibweteka na kuamini mpo shwari ilhahli mnaongoza EAC na SADC kwa raia maskini.
 
DRC
 
Kwa Mtanzania mwenye akili, hii habari ni nzuri maana inachochea jitihada badala ya kuishi mkibweteka na kuamini mpo shwari ilhahli mnaongoza EAC na SADC kwa raia maskini.
Tunaongoza kwa idadi ya watu, sababu tupo wengi. Convert that into percentage we're better than you, wengi kwenyu mafukara zaidi ya bongo, refer geza's chart
 
Tunaongoza kwa idadi ya watu, sababu tupo wengi. Convert that into percentage we're better than you, wengi kwenyu mafukara zaidi ya bongo, refer geza's chart

Hili la percent umelishikia bango ni kama ndio linaondoa ukweli, mbona haya mahesabu yanafanywa chekechea kwetu

Tz population 58mil
Mafukara 19 mil ambapo ni 32% of the population

Ke population 49 mil
Mafukara 14 mil ambapo ni 28% of the population

Tatizo kubwa linakujia pale Tz na DRC zina kila sababu za kuongoza Afrika kwa utajiri lakini Miafrika imelaaniwa uvivu na mdebwedo.
 
Tumwamini nani sasa? Mbona wengine wametoa takwimu za tupo vizuri? Katika 28 hatumo?
Kwa Mtanzania mwenye akili, hii habari ni nzuri maana inachochea jitihada badala ya kuishi mkibweteka na kuamini mpo shwari ilhahli mnaongoza EAC na SADC kwa raia maskini.
 
Usitie shaka MK254 nchi kwa sasa inanyooshwa ikinyooka hao maskini watapungua sana kama siyo kwisha kabisa.
 
Mmmh! Hapa sibonyezi kidude. Hadi mwisho wa hii ngoma ya blah blah za bongo fleva.
 
Tunaambiwa unemployment rate yao ni 2%. Kwani hizo kazi wanafanya hazilipi ama nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…