Mwaka 2018, Tanzania ndio ina raia wengi maskini ndani ya EAC na SADC


Hard working is the key to success , nina uhakika mkubwa kwenye hao mil 19 kuna watu wengi wana mashamba vijini kwao hawatki kufanya kazi, wengine wameacha shule kwa sababu zao wenyewe , Tanzania inajitahud impatie elimu kila mtanzania , pia ukiachana na swala la watu binafsi bado serikali yetu haina policy nzur za ku tackle umaskin kwahyo viongozi wetu wanasafari ndefu ya kujifunza jinsi ya kupunguza umaskin na kugawanya rasilimali vizuri, ukiangalia wazungu wengi bado wana control kwenye resources zetu na hii ni inatokana na kukosa elimu ya kutumia vitu vyetu wenyewe, mfano jinsi ya kuchimba gas,kujenga mitambo ya kusafisha na kuchimba madini, tunatgemea sana wazungu , na kwa sababu hio lazima wanataka returns kubwa, na bado viongozi wetu mikataba hainufaishi wanachi
 
Napenda sana huu ukweli
 
Mh, tupo 60 million people na zaidi.
 
Nilidhan Kenya haina masikini kabisa kumbe wapo 14+Millions...plus ni nchi ya Watu 50million sasa sijafaham Point kuu ni ipi...
Nigeria umeiweka kama kivuli tu ilhali Hali ya ndugu zako wengi bado wanahemea juu juu Oxygen saturation rate uko down
Izi figures ukiziweka ktk asilimia Kenya ndio ina RAIA wengi maskini kuzidii Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…