Mwaka 2019 Smartcard ya decoder ya Azam ilisumbua nikawaomba msaada, Wamenijibu 2024

Mwaka 2019 Smartcard ya decoder ya Azam ilisumbua nikawaomba msaada, Wamenijibu 2024

X men

Member
Joined
Dec 26, 2021
Posts
18
Reaction score
35
Moja ya matatizo makubwa ya hizi taasisi kubwa nchini ni kuwa wazito kwenye kujibu na kutatua changamoto za watu/wateja wao kupitia mitandao ya kijamii.

Wengi huwa wanapost kitu kwenye social media page zao lakini hawa reply chochote kutokana na comments za followers, sio huko tu hata ukienda kwenye inbox zao hawajibu kitu licha ya baashi ya makampuni/kuajiri watu kwa ajili hiyo, mwaka 2019 nilipata changamoto ya smartcard ya decoder ya Azam kwakua nilikosa namba zao za simu nikaenda Inbox mwa page yao kuwaelezea...hawakuwahi kujibu, wamejibu leo kwamba niwatumie namba za king'amuzi!!

Aiseee 2019 to 2024?
Screenshot_20240201-124627_Instagram.jpg
 
Mm wamekaa na kingamuzi toka mwezi wa 11 ndio juzi wamepiga sim niende nikachukue nikiwa na pesa ya kifurushi sasa sijui miezi mitatu mm siangalii tv. Nilishanumua cha startimes wanacustomer care mbovu sana
 
Hii kali na huyo aliejibu yupo comfortable kabisa anaandika tuma Card ya namba tukusaidie[emoji28][emoji28]
 
Customer care ya Azamtv ni ya hovyo.
 
Back
Top Bottom