Mwaka 2020 ulikuwa mtamu sana, sijui mwaka huu 2021

Mwaka 2020 ulikuwa mtamu sana, sijui mwaka huu 2021

Jk12

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2019
Posts
702
Reaction score
1,134
Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh nikasuka mkeka wa mechi 21
Total odds 69,000+
Possible won 36m
Kodi ya SERIKALI 7+m
Take home 28+m

Siku ya kwanza zilicheza game 8 icelands teams. Europa game moja ya Basel vs Frankfurt AKIWIN dk ya 92
Last games zilikuwa ni UEFA -- Bayen vs Chelsea

BARCELONA vs Napoli soko BTS OR GG yaani nkila timu ifunge goli
 
Sikuwahi kujiona kilaza namna hii, sijaelewa kitu aisee zaidi ya neno uzi tayari!
 
Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja
Nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh
Nikasuka mkeka wa mechi 21
Total odds 69,000+
Possible won 36m
Kodi ya SERIKALI 7+m
Take home 28+m
Siku ya kwanza zilicheza game 8 icelands teams
Europa game moja ya Basel vs Frankfurt AKIWIN dk ya 92
Last games zilikuwa Ni UEFA
Bayen vs Chelsea
BARCELONA vs Napoli soko BTS OR GG yaannkila timu ifunge goli
Uzi tayari msifute aiseeee
uliwin mkuu?
 
Sikuwahi kujiona kilaza namna hii, sijaelewa kitu aisee zaidi ya neno uzi tayari!
Screenshot_20210102-202722.png
Screenshot_20210102-202755.png
 
Kumbe inalipa eeh? ,Yaani umekua milionea bila kutarajia asee..!!
 
Niligoma kwenda kufanya interview..niliwaambia Kama wanataka nifanye interview na kupigana mapicha wanilipe 5m ndo niwaibukie OFISIN KWAO..
ofisi zao ziko wapi?
 
BETPAWA I THINK ZIPO MIKOCHEN siku Ile walinipigia simu kunipongeza walitamka Kama zipo mikocheni
kumbe interview sio lazima? vipi hizi betpawa giveaway umewah lamba ata mia
 
BETPAWA I THINK ZIPO MIKOCHEN siku Ile walinipigia simu kunipongeza walitamka Kama zipo mikocheni
Sasa cheque ulichukua wapi,kama ofisi zao huna uhakika sehemu ambako zipo?..ulitoaje huo mpunga?,mobile money?
 
Back
Top Bottom