Mwaka 2020 ulikuwa mtamu sana, sijui mwaka huu 2021

Mkuu sijakielewa yani hizo game 6 sijui 7 ndo zimeleta hizo odds[emoji2][emoji2][emoji3]
 
Sijawaf fanya hizo mishe huwa nashare free mkeka ukiweza kopy au edit
Fanya mpango na sisi tuneemeke mkuu... Tufanyie share humu au kwny pm za watu wanaohitaji
 
Sasa cheque ulichukua wapi,kama ofisi zao huna uhakika sehemu ambako zipo?..ulitoaje huo mpunga?,mobile money?
Daily nilikuwa navuta 3m kwa phone NILIPIGA siku 8 siku ya mwisho nikavuta 4
 
Hongera sana mkuu mi pia nautamani sana mpunga wa kanji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…