The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Ccm ni generation ya wapigaji sasa ni Mali binafsi ya familia ndio yenye kutoa maamuzi na dira wengine wote wafata.Ccm imejengwa kwenye misingi ya umasikini na ujinga hivi visipokuwepo ccm itakufa.Ccm inapendwa na makundi mawili moja wanufaika walaji na wapigaji kundi la pili ni future less people( wanting) wasioweza nunua hata ndala hawa ndio mtaji wa kundi kwanza.Mtu asiye ndani ya kundi hilo smartphone hawezi kuwa kati ya makundi hayoKauli zingine tabu tupu, Ni kweli Wameishiwa Sera Ila si kweli kufikia 2021 tutaadhimisha hayo unayoyasema... Japo elimu yenyewe tabu Ila tumesoma kwa juhudi za hicho Chama Mama, Haya maneno ya kashfa bila hiyo elimu ulonayo Wala usingetambua kwamba ni ya kashfa na kuyabandika hapa kwa lengo la kukashifu.. Africa Mashariki na Kati Ni nchi gani ilopiga hatua saaana kusema Tanzania iko nyuma kiivo? CCM Ni Chama kikongwe na Kinastahili heshima, Sisi Wapinzani tunapaswa kuonyesha mfano wa Siasa Safi kwa kuja na Sera mbadala kuushawishi Umma na sio kuropoka kiivo.. unafanya Watu wenye nia ya kuleta Mageuzi ya kiutawala waonekana watafta fursa tu kama Wananchi wenye upeo mdogo wanavyoaminishwa.. Weka Mchango ako hapo jinsi Mabadiliko yanaweza kufanyika kama Chachi ya Maendeleo na sio kupoeza time kukashifu, correct me if I am wrong, ruksa!
Kwa akili yako ndogo unadhani kila anaeandika humu elimu amepata Tanzania, hilo la kwanza.Kauli zingine tabu tupu, Ni kweli Wameishiwa Sera Ila si kweli kufikia 2021 tutaadhimisha hayo unayoyasema... Japo elimu yenyewe tabu Ila tumesoma kwa juhudi za hicho Chama Mama, Haya maneno ya kashfa bila hiyo elimu ulonayo Wala usingetambua kwamba ni ya kashfa na kuyabandika hapa kwa lengo la kukashifu.. Africa Mashariki na Kati Ni nchi gani ilopiga hatua saaana kusema Tanzania iko nyuma kiivo? CCM Ni Chama kikongwe na Kinastahili heshima, Sisi Wapinzani tunapaswa kuonyesha mfano wa Siasa Safi kwa kuja na Sera mbadala kuushawishi Umma na sio kuropoka kiivo.. unafanya Watu wenye nia ya kuleta Mageuzi ya kiutawala waonekane watafta fursa tu kama Wananchi wenye upeo mdogo wanavyoaminishwa.. Weka Mchango ako hapo jinsi Mabadiliko yanaweza kufanyika kama Chachu ya Maendeleo na sio kupoteza time kukashifu, correct me if I am wrong, ruksa!
Kwa akili yako ndogo unadhani kila anaeandika humu elimu amepata Tanzania, hilo la kwanza.
La pili, shuleni hukufundishwa kuweka aya kwenye uandishi wako na matumizi ya vinyambulisho(panctuation)?
Tatu, kwa akili yako finyu kila anaeandika humu basi ni mpinzani, kichwani umebeba akili au mavi.
Nne, chama kinaheshimiwa kwa sababu ya ukongwe wake au kwa sababu ya mchango wa maendeleo kilichowaletea wananchi wake?