Mwaka 2023 kinajimu ni mwaka wa matumbo

Mwaka 2023 kinajimu ni mwaka wa matumbo

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Watu wengi huenda wakapata maumivu ya tumbo hasa kwa chini, wakati huo matumbo yao yakionyesha dalili za kuharisha lakini wasiharishe na hatimaye kwenda kulisaidia kakitu kadogo sana, matumbo ya herufi ya mwaka huu hutesa kwa kiasi fulani, lakini lengo la kulileta suala hili hapa ni kusaidia aina ya utibabu wake! Ili lisije kukupotezea muda mwingi maana usipolijulia huweza kukutesa mpaka siku tano.

Tafuta malimao matano safi, yaoshe, yakate, yaweke kwenye sufuria chemsha kwa Dk 5,epua kunywa, asubuhi na jioni kwa siku tatu.

:Wasalaam.
 
Back
Top Bottom