Mwaka 2023 na vituko vyake

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,

Mwaka huo unakwisha, kama ilivyo Kila mwaka unavituko vyake.

Kama sio kwa wanasiasa basi ni kwa watu maarufu huko duniani.

Pia kama sio kwa Simba na Yanga basi ni kwa watu wa mbalimbali.

Tupia kituko chako hapa cha mwaka 2023.
 
Nilichelewa sana kujua people don’t ā€œplay fairā€ kwenye kupambania.

I have learnt the hard way kwamba kuna muda UNACHEZA RAFU! Otherwise utabaki unaangalia wenzako wanajenga majumba,

wanaendesha ndinga kali, watoto wanasoma shule nzuri etc wewe upo tu. Acha inyeshe tuone inapo vuja welcome 2024 kwa Blessing nyingi
 
Make sure kwenye mapambano hauumizi wengine/upande wa pili or isiwe vitu za kutisha hadi shetani nae akaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…