Mwaka 2025 hawa watu tuwaweke chini ya Mti Mkavu

Mwaka 2025 hawa watu tuwaweke chini ya Mti Mkavu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hawa wabunge na Mawaziri kiuhalisia hawakupaswa kuendelea kuishi hivi kisiasa. walipaswa kabisa wawe ni marehemu kwa huu uhuni wanaotufanyia. walipaswa kisiasa wawe maiti wao na kiongozi wao. wakutwe na political death. yes. nipo serious. wafe kisiasa.

mwaka 2025 tusipepese macho. ni kuwa nyoa nywele zote na kuwachuna ngozi za kichwani kisha kuwaweka juani ,mchana kuanzia saa 6 mpaka saa 10 alasiri chini ya mti mkavu. wakae juani muda huo kufanya akili zao zipate joto zilainike ziwe zimeganda. kama zilivyo kwa sasa zimeganda sana hakuna ambacho wanawaza.
 
Back
Top Bottom