Pre GE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.

Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.

Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki

Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
 
Hoja yako ina mashiko kiukweli na kama ni kweli kuwa CHADEMA ni wenzao CCM basi tunaweza kuwa chagua wao (CHADEMA) maana ikawa ileile iliyokusudiwa na wewe
U mean what?
 
Ni kweli kabisa wanaccm mje mchague wagombea wengi wa Cdm kwani ni sisiyemu walio kwenye magwanda na nina uhakika wataweza kuishauri vizuri serikali tofauti na hawa CCM A ya 2020/2025 iliyoshindwa kumshauri Mh Rais namna ya kuweka mazingira wezeshi ya watu kuondokana na umasikini
 
Uko sahihi
Hoja yako ina mashiko kiukweli na kama ni kweli kuwa CHADEMA ni wenzao CCM basi tunaweza kuwa chagua wao (CHADEMA) maana ikawa ileile iliyokusudiwa na wewe
 
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.

Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.

Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki

Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020

Mchague wabunge wa CCM kwani Tanzania kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.

Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.

Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki

Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
Kweli kabisa, bora kuchagua CCM original kuliko hawa mamluki walionuniliwa at a very cheap price.
 
Nani kakutaza kuchagua CCM ?. Mbona wamejaa bungeni na wananchi wanaibiwa kila siku. Magari ya billioni 35 hayaonekani yalipo. Punguzeni unafiki, mmeona mmpo uchi kwa ufisadi meamua kukimbilia kujificha kwa upinzani.
 
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.

Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.

Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki

Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020

Mmejazana wabunge wa CCM , halafu mama yenu anaibiwa hawana Cha kufanya. Kuiba aibe CCM kelele muipigie CCM. Mwigulu kadai anayeidhinisha malipo ni Rais, halafu wewe chawa wa CCM unakuja kubweka hapa. Tatizo lenu mnaangalia mambo kiccm ndio maana hata mkiibiwa hamuoni shida.
 
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.

Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.

Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki

Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
Wewe umechelewa sana kuwaelewa CHADEMA. Hata wao hawataki muwachague. Ulishaona chama cha upinzani kinampa tuzo mwenyekiti wa chama tawala? Ulishawahi chama cha upinzani kinatukana makundi muhimu kwenye uchaguzi yaani vijana (bodaboda) na kina mama (viccoba)? Ni kwamba hata CHADEMA wameshakubali CCM ya sasa inaongoza nchi vizuri ndo maana kwenye mikutano yao yote lazima wamsifu mwenyekiti wa CCM. Itakuwa ni upumbavu kuchagua copy ya CCM wakati original ipo.
 
Back
Top Bottom