I mean what u meanU mean what?
Ni kweli kabisa wanaccm mje mchague wagombea wengi wa Cdm kwani ni sisiyemu walio kwenye magwanda na nina uhakika wataweza kuishauri vizuri serikali tofauti na hawa CCM A ya 2020/2025 iliyoshindwa kumshauri Mh Rais namna ya kuweka mazingira wezeshi ya watu kuondokana na umasikiniHoja yako ina mashiko kiukweli na kama ni kweli kuwa CHADEMA ni wenzao CCM basi tunaweza kuwa chagua wao (CHADEMA) maana ikawa ileile iliyokusudiwa na wewe
Hoja yako ina mashiko kiukweli na kama ni kweli kuwa CHADEMA ni wenzao CCM basi tunaweza kuwa chagua wao (CHADEMA) maana ikawa ileile iliyokusudiwa na wewe
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
Kweli kabisa, bora kuchagua CCM original kuliko hawa mamluki walionuniliwa at a very cheap price.Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
Kweli kabisa, bora kuchagua CCM original kuliko hawa mamluki walionuniliwa at a very cheap price.
Acha kujitoa ufahamu bana
CCM vs CCM B?
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi mmeanza kuzunguka majimboni mkidhania mtarudi. Hapana, mambo yatakuwa kama 2020
Wewe umechelewa sana kuwaelewa CHADEMA. Hata wao hawataki muwachague. Ulishaona chama cha upinzani kinampa tuzo mwenyekiti wa chama tawala? Ulishawahi chama cha upinzani kinatukana makundi muhimu kwenye uchaguzi yaani vijana (bodaboda) na kina mama (viccoba)? Ni kwamba hata CHADEMA wameshakubali CCM ya sasa inaongoza nchi vizuri ndo maana kwenye mikutano yao yote lazima wamsifu mwenyekiti wa CCM. Itakuwa ni upumbavu kuchagua copy ya CCM wakati original ipo.Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.