Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Mwaka 2000 Sony walitoa utabiri wa Ps9 itakavyokuwa mwaka 2078
Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo linaloonyesha jinsi Playstation itavyokuwa miaka ijayo.
Inasemekana mpaka kufikia mwaka 2078 Games za Playstation utaweza kuunganisha na mwili wako na kucheza moja moja kwenye game kama muhusika mkuu ambapo watu wateza kujiunganisha kupitia mfumo wa orbs.
Angalia video yake 📍
Labda games ya GTA utaweza kuvaa kujiona wewe muhusika live na kuweza kucheza games pia inasemekana games miaka ijayo itakupa uwezo wa kutoa pesa utazozipata kwenye games kuzileta maisha uhalisia miaka hiyo 2078 tuombe uzima TU😁.