Mwaka huu 2017, watoto wanaoitwa January wapo kweli?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Kumekuwa na tabia za watu kufanana na majina yao, hawa wa mwakaa huuu!!!
Sijui watakuwa na sifa na tabia gani
 
Huku mtaani Watoto wengi waliozaliwa wameitwa John
 
wakimaanisha nani mkuu? yule faru wetu au?
Yani hata sielewi,
manake mke wa jirani yetu (baba john) ni mama lishe,
sasa mumewe hapendi kabisa watoto wake wafanye uchochezi, kwasababu anahofia wanae ni watundu sana na huenda wakapata madhara wakiwa jikoni wakati wa kuchochea kuni,
sasa labda aliwaita jina la John kutokana na utundu wa Faru john
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…