GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo lilijengwa na Wakandarasi wa Bombay India linaweza lisidumu mpaka 2025.
Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi tu.
Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi tu.