GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mzee Mmoja nakumbuka aliwahi Kuniambia kuwa ukiwa maarufu sana au Mtu muhimu mno katika nchi au jamii usipende sana Jina lako Kutumika kama Kumbukumbu huku ukiwa bado Hai kwani kwa 85% ni kama Unachuliwa tu Kifo na kupewa Nuksi fulani hivi ila ukifa ndiyo inapendeza Kuitwa.🤔🤔🤔🤔🤔!!! Dah... Mpaka bwana Jobo wimbi la 3 lishamfikia?
Soko la Ndugai nahisi halitodumu sana.Ni hatari sana
Mwenye Jina la hilo Soko ajiandae sasa!!Hivi yule jamaa wa ✌️alisema chochote juu ya soko lile pale Dodoma? Acha tuone maneno yake anajidai mtabiri
Jamaa anaweza omba manispaa watafute jina lingine la sokoSoko la Ndugai nahisi halitodumu sana.
Kama kuna kaukweli flani hivi....Kuna Mzee Mmoja nakumbuka aliwahi Kuniambia kuwa ukiwa maarufu sana au Mtu muhimu mno katika nchi au jamii usipende sana Jina lako Kutumika kama Kumbukumbu huku ukiwa bado Hai kwani kwa 85% ni kama Unachuliwa tu Kifo na kupewa Nuksi fulani hivi ila ukifa ndiyo inapendeza Kuitwa.
Kuna Pantoni nataka tuiite adden je, utakubali Mkuu au? Tunataka Vizazi vijavyo vikutambue pia.hahaha..
gentamycine SGR
Jina la Mtu linatakiwa litumike kama Kumbukumbu ya Kitu pale tu akiwa ameshafariki ( amekufa ) ila likitumika akiwa bado Hai ni kumtafutia tu Nuksi na hatodumu sana na atakufa.Kama kuna kaukweli flani hivi....
Tena afanye hilo sasa kwani anaondoka.Jamaa anaweza omba manispaa watafute jina lingine la soko
Uliyemtaja hapa ndiyo Hawara yako au?Kwahiyo na soko la mavunde litapitiwa
Ila wabongo bhana tu assume kwamba tupo kwenye madaraja sio masoko.
hati nzuri sana,hongeraaNimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo lilijengwa na Wakandarasi wa Bombay India linaweza lisidumu mpaka 2025.
Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi tu.