ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Nit, mum
kunakaukweli kidogo hapa mkuu.Pale hazina kuko hivi.
Waziri .... ni saada mkuya. naomba cv yake.
Naibu waziri.... ni handsome boy Adam Malima mzee wa kuibiwa kwenye gesti.
Naibu mwingine.....ni Mwigulu nchemba .....hajawahi kukaa ofisini. alitoka marekani juzi kapitoia Dodoma sasa yuko kwenye ziara ya Kinana. The guy is not office material. He can not concentrate on issues apart from blah blah blah urojo na utumbo mikutano ypa kumsema Sheikh Prof. Lipumba na Mbowe.
vyuo vya public wameshapewa ila private ndo msahau!mtapewa baada ya kufanya UE
[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]Wakuu mwaka huu kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwamba pesa za kujikimu(boom) limechelewa sana kiasi cha kusababisha baadhi ya vyuo kusogeza mbele kalenda ya kufunga mfano.SMMUCo,JUCo, tatizo ni lipi? serikali haina hela? au ni bodi?