Mwaka huu hadi wenye Division 4 kujiunga na Vyuo vikuu

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Kwa mujibu wa TCU guide book2014/15 inasema Principal pass ni A to C na D ni pass.
Pia imesema ili mwanafunzi ajiunge na chuo kikuu anatakiwa kuwa na angalau Pass (D) mbili.Na ukiangalia mfano mtu mwenye DDF ana Div 4 ya 17,kwahiyo huyu amekidhi(qualify) kujiunga na Chuo kikuu.
 
looh mkuu mtazamo wako ulivyoutoa utafikiri ndo tangazo la TCU! kama mwenye four akienda basi kazi ipo huko mbele, hata hivyo hiyo inamruhusu tu kuingia kwenye mchakato wa kuchaguliwa anaweza asichaguliwe.
 
Kidumu chama cha mapinduzi........... Oyeeeeeeeeeeeeeee...oyeeeeeeeeeeeeee
 
Kweli kuna jamaa ana 4 lakini kaaply UDSM BCOM.
 
Hahaha kwani kuomba ndio kupata?,,unakuta kozi inahitaji watu 70,waliyomba wako 1200,division one peke yako wako 160,kama mwenye div one mwenyewe atakosa wewe mwenye DDF utapata.

Hapo wamefanya hivo ili usijesema hujapewa nafasi na kumbuka kuomba chuo siobure unalipia,,,

Kwa mtazamo wako ukienda KIU utacheka ufe kuna kozi nyingine cut point ni point 2 tu,ina mana mwenye EEF ana haki ya kuomba.Hapondio utashangaa chuo kina uwezo wa kuchukua wanafunzi 150 waliomba wako 3000 kati ya hao 3000 wapo fresh f6,waliotoka makazini nk
 
looh mkuu mtazamo wako ulivyoutoa utafikiri ndo tangazo la TCU! kama mwenye four akienda basi kazi ipo huko mbele, hata hivyo hiyo inamruhusu tu kuingia kwenye mchakato wa kuchaguliwa anaweza asichaguliwe.

na vyuo vilivyojaa kwanini aachwe.Kwanza nafasi ni nyingi kuliko walioomba.
 
Jamani labda walipata examination fever wakafeli lakini wanajimudu wacha tuwape fursa kamateni fursa vijana UDSM enzi zetu sisi kama hujabutua huioni ng'o
 
Jamani labda walipata examination fever wakafeli lakini wanajimudu wacha tuwape fursa kamateni fursa vijana UDSM enzi zetu sisi kama hujabutua huioni ng'o

kweli aisee...enzi za chuo kimoja kufika chuo kikuu ilikuwa si mchezo.
 
Acheni vyuo vijae ili badae gradates wakiingia barabarani kudai ajira ndio tutaona utamu wake.
 
Kuna mmoja kaaply Docor of Medicine na ana 4 aisee.

kuaply na kupata ni vi2 viwil tofauti,,automatic system itam2pa maana one na two mwaka huu ni nyingi izo 3 ndo usiseme sasa yangu macho 2takuja kuhadisiana tena baada ya selections!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…