kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kumbuka tuna rais mdini japo kwaaisha yake hana uchamungu hata kidogoChrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje
1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass
2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass
3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo ualikwa kiongoz wa nchi au mwakilishi. Safari hii kimya kimya
Je tukisherekea sikukuu nyingine za kidini serikali itakaa kimya kama tukio la chrismass?
Asante kwa kuweka sawa.Misa ya kitaifa imefanyika Jimbo la Kondoa Mkoa wa Dodoma. Misa ya usiku na asubuhi zote zilikuwa live TBC 1. Pia Mkono wa Krismasi tarehe 24 msaidizi wa Rais Bwana Said alionekana kwenye vyombo vya habari akitoa kwa naiba ya Rais.