Uchaguzi 2020 Mwaka huu kama umegombea CCM, ukikatwa jina lako huna mbadala, majina yote kutolewa siku ya mwisho na NEC

Hiyo hiwezekani màana wagombea wanatakiwa wachukue from na kuzirejesha zikiwa zimejazwaikamilifu ndipo wateuliwe na tume
Hoja ya msingi hii, tume na ccm wapi na wapi wakati kuna siku za watu kuchukua form.
 
Yaan kwa haya maneno unajiongopea mwenyew
 
Maeneo mengi jamaa waliokatwa mikia wamekaa kimkakati wa kulipa kusasi chama cha wajumbe
 
Mada hii imejaa uongo mwingi sana pamoja na kusema Waziri mkuu alimuhakikishia Shehe Majini kupitishwa na Kamati kui!
 
Basi kama ni hivyo upinzani wanaweza kushinda majimbo mengi sana mwaka huu kuliko kamati kuu ya CCM wanavyoweza kuamini.
 
Wazee wa kusubiri makombo wanatamani kulia!!! Tuliwaambia hawa jamaa wanawezaje kuchukua nchi wakati hata wagombea hawana????

Queen Esther
Hivi unadhani alichoandika mtoa mada kinawezekana? Chama lazima kimtaarifu mgombea wake mapema ili aweze kwenda nec kuchukua fomu kwahiyo wagombea watajua mapema kama wamekatwa ama la, ila tume kutoa majina siku ya mwisho lengo lao kuwakata baadhi ya wagombea kwa kisingizio wamekosea kujaza fomu
 
Mada hii imejaa uongo mwingi sana pamoja na kusema Waziri mkuu alimuhakikishia Shehe Majini kupitishwa na Kamati kui!
Pia lazima chama kimtaarifu mgombea wake mapema ili aweze kwenda nec
 
Hoja ya msingi hii, tume na ccm wapi na wapi wakati kuna siku za watu kuchukua form.
Mtoa mada kachanganya hapa kilichopo NEC watatoa majina siku ya mwisho ili kuengua wagombea kwa kisingizio wamejaza fomu vibaya, na wakiwatoa siku ya mwisho ndio picha limeisha
 
WATAJUANA WENYEWE HAYATUHUSU SANA WAPINZANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…