K/Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila akipanda juu ya tanki kuchungulia maji katika vyanzo vya maji kijiji cha Mwankoko Manispaa ya Singida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri kupimwa mkojo. Nyoo ndio unayoyawaza tuu!!View attachment 574986
Nilipo ongeza umakini nikaona tobo kwambaaaaaali......
Hapo nilipo zungushia wekundu, naona kitu kilitatuka kwasababu ya alichokifanya kwa kuonyesha uzowefu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nchi hii ilipo fikia, ukisema ukweli utaonekana msaliti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna binadamu mnajua kuzoomView attachment 574986
Nilipo ongeza umakini nikaona tobo kwambaaaaaali......
Hapo nilipo zungushia wekundu, naona kitu kilitatuka kwasababu ya alichokifanya kwa kuonyesha uzowefu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Binam....[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna binadamu mnajua kuzoom
Kuna jamaa aliwahi kusemaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna binadamu mnajua kuzoom
Naomba moja hiyo miwani[emoji120] [emoji120]Binam....
Tatizo hizi miwani za kisasa...[emoji13] [emoji13]
Hii ninaitumia mimi na bibi yako kwa pamoja...[emoji20] [emoji20] [emoji20]Naomba moja hiyo miwani[emoji120] [emoji120]
Basi sawa...