Mwaka huu kitaifa sherehe za muungano zinafanyika wapi!??

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,336
Wanabodi
Salaam;

Binafsi mpaka sasa sijajua sherehe zetu za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo huwa tunaaazimisha tarehe 26.April. kila mwaka,zitafanyika wapi kitaifa.

Naomba mwenye taarifa atujuze hapa ili sisi tunaopenda kuhudhuria tujiandae mapema,maana zimebaki siku chache tu..!!

Sherehe za mwaka huu zitafana na ningependa kuona kila mpenda maendeleo anahudhuria. Tukutane tar.26. kwenye sherehe za muungano!
 
Sherehe zote za kisiasa za kiserikali Alisema mzee wenu ni Huko Dodoma
 
Wanabodi
Salaam;

Binafsi mpaka sasa sijajua sherehe zetu za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo huwa tunaaazimisha tarehe 26.April. kila mwaka,zitafanyika wapi kitaifa.

Naomba mwenye taarifa atujuze hapa ili sisi tunaopenda kuhudhuria tujiandae mapema,maana zimebaki siku chache tu..!!

Sherehe za mwaka huu zitafana na ningependa kuona kila mpenda maendeleo anahudhuria. Tukutane tar.26. kwenye sherehe za muungano!
Zitafanyika Uwanja wa Jamhuri, na Maandamano ni Posta pale mnara wa Monument, usikose. Kuanzia saa 3 asubuhi. Sipati picha polisi wanavyopata tabu kufanya mazoezi ya matukio mawili....🙂
 
Mapemaa tu...!!
 
Back
Top Bottom