kaaabisa kabisaaaa mi clock tower wapi weweSawa wa dodoma watafanya na sisi tutafanya hapa mjini...!!
Zitafanyika Uwanja wa Jamhuri, na Maandamano ni Posta pale mnara wa Monument, usikose. Kuanzia saa 3 asubuhi. Sipati picha polisi wanavyopata tabu kufanya mazoezi ya matukio mawili....🙂Wanabodi
Salaam;
Binafsi mpaka sasa sijajua sherehe zetu za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo huwa tunaaazimisha tarehe 26.April. kila mwaka,zitafanyika wapi kitaifa.
Naomba mwenye taarifa atujuze hapa ili sisi tunaopenda kuhudhuria tujiandae mapema,maana zimebaki siku chache tu..!!
Sherehe za mwaka huu zitafana na ningependa kuona kila mpenda maendeleo anahudhuria. Tukutane tar.26. kwenye sherehe za muungano!