Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Wakuu, kheri ya mwaka mpya.
Upande wangu mambo hayapo sawa, ni siku ya kwanza ya mwaka lakini tayari nimeshajichanganya. Nijipange tu upya kwa mwaka 2024 maana mwaka huu ndio basi tena.