Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao
Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu na hao watoto. Usiku sipati usingizi huu mwaka wangu...... Ukiondoa Tina mwenye kipato cha maana hao wawili ni hawana uwezo na ni pasua kichwa.mara niletee ice cream, mara mtoto wako anataka kuku hizo ni mimba tu wakizaliwa ntakoma
Mwamposa nakuja kanisani jumapili,nimekosa mimi nimekosa mimi ,nimekosa sana.sasa naokoka