Mkuu fafanua sawa sawa. Umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja, yaani vibali na ajira serikalini.
1/Unaposema vibali unamaanisha Professional Lecense, Legal registration, Working Permission, Certificate Approval, ID Card etc?
2/Ni watumishi wa afya katika ngazi na kada ipi ya afya unaowazungumzia?
3/Nini uhusiano kati ya hivyo vibali na ajira?
4/Tatizo ni ajira au vibali vya kufanyia kazi?
5/Utaratibu wa kutoa hivyo vibali ukoje?
6/Kwani ni lazima kila mtaalam wa afya awe na hicho kibali ili afanye kazi?
7/Vipi kama mtu anataka kujiajiri au kuajiriwa sekta binafsi?
*This is Jamii Forum, a centre of critical thinkers, people need specific details before to contribute properly in your topic. Please try to explain it more.