Mwaka jana Simba ilianza hivi hivi 2 -0 ikaja kutolewa Kwa mkapa 3-1

Ndiyo balaa la Jwaneng Galaxy wanajisahaulisha
Alafu Walivyo wapuuzi Wana kwambia Simba timu Kubwa, Unatolewa na timu kutoka Botswana Tena Nyumbani, Unafungwa na timu kutoka Djibut Tena Nyumbani Mimi Sijawahi kuona Timu ya Tanzania inatolewa au kufungwa na timu kutoka Mataifa ayo tangu naanza kufuatilia mpira.
Iyo ni Dalili mbaya sana katika mpira wetu.
 
Utopolo katika udhaifu wao. Simba inawanyima usingizi nyie watu......
 
Reactions: BRN
Ni kubwaaa hata ushupaze misuli. Nyie saizi yenu ni hao hao Zalan. Acha kukariri eti sijawahi ona timu ikitolewa na timu za huko,vipi ushaona mechi ngapi zikichezwa na hao na timu za Tanzania?
 
Iyo game viongozi ndo wakulaumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…