Unamaanisha wali launder that amount and yet vyombo vikaa kimyaHatujasikia wakisema Samia na Nchimbi wachunguzwe walivyozitumia, leo million 300 tu press kila kona.
Wachimba Madini walichanga bilioni 16.
Kampuni ya GSM bilioni 10.
CCM Zanzibar bilioni 4 na kuahidi kuongeza bilioni 1.
Klabu ya Yanga: Ilichangia Shilingi milioni 100.
Cha ajabu huwezi kuajiriwa TISS bila kua na kadi ya CCM.Siku ambayo
Vyombo vya Usalama hasa TISS ikitoka kuwa tawi la CCM na CCM kuwa tawi la TISS ndo ujue taifa limepata ukombozi.
Lakn kwa sasa CCM inaelekeza TISS cha kufanya na TISS inaelekeza CCM cha kufanya bado tuna safari ndefu maana
Hawa wanapata maelekezo kutoka kwa watawala, TAKUKURU, DPP, DCI, IGP hadi ngazi za chini, imagine tuna watu uraiani walitakiwa kuwa jela lkn kwa vile ni wana CCM wapo uraiani.