Mwaka kwangu unakwisha kwa Majanga

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali Bikra

Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa muda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!
 

Umeshamnunulia nguo ya sikukuu mtoto?
 
[emoji16]bikira mariam anajifungua kesho ,,,,
 
Mwenzio kaunguliwa na maduka matatu mnazi hapa yeye ataumalizaje mwaka
 
Akuonyeshe mtu aliyemfungulia njia. Enzi za kutokewa na malaika ni miaka ya BC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…