Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Tunapouanza mwaka mpya ni vizuri tukafungua ukurasa mpya wa kitabu kilekile cha mapenzi huku tukipekua nyuma na kuyarekebisha yaliyokuwa makosa, kuboresha zaidi palipoelekea kudhoofu na kutia zege yaliyokuwa mazuri! Ni ajabu tukiruhusu kuendelea na yaliyo maovu au kubadili wapenzi! Jiulize kama hiyo ndo slogan yako utabadili hadi lini?? HAPPY NEW YEAR TO ALL"" 2012 to be the best!