fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea nao.Tumekitana na watu wengi na wote tukafurahi sana bila kujali,majina yetu,makabila yeyu,vipato vyetu,tumafurahi sana.Asante Mungu