Naandika kwa masikitiko makubwa baada ya kupita mwaka tangu kustaafu. Mawasiliano kati yangu na PSSPF sio mazuri na hayaonyeshi ukweli na dhamira njema.
Ninawaomba PSSPF mtu akishakamilisha kuwasilisha nyaraka zake na mkazihakiki basi angalau mpeni muda ambao ataweza kupata mafao yake. Kuwaweka watu katika "uncertainty' si jambo jema, linaumiza mno.
Wekeni tu wazi hata mkisema kuwa "mafao yako utapata baada ya miaka miwili"inatosha kwani mtu atajipanga.