KabisaNext time ukikosa Cha kupost njoo PM nikupe maada uanzishe thread za kuwapa great thinkers
Na aliyemaliza 1908, 1918 nk utatofautishaje wakiandika unavyofikiria wewe?Just a fun little exercise. Mada inajieleza. Mfano kama mtu umemaliza la saba mwaka 2018, utajibu 8.