Na wewe yaan upo kama mimi tu hata mimi sina chanel kabisa lakin nataka tu kutokaDaah umenigusa sana Beira Baby Boy lakini tatizo naanzaje kutoka home wakati sina Chanel yoyote
Jamii forum ni kijiwe cha maarifa. Na Mimi ngoja nikomaeNa wewe yaan upo kama mimi tu hata mimi sina chanel kabisa lakin nataka tu kutoka
Nimepanga kutafuta vibarua kwa nguvu zote nipate pesa nipange gheto langu
Unasoma chuo mkuuMkuu wewe kwan ushamaliza chuo
Upo kwakoMfano ukajenga kwenye kiwanja cha babako au kwenu ukawa unaishi na wazaz wako nawe unahesabiwa kwamba bado uko kwenu?
Hongera sana mkuu kilimo ndo uti wa mgongo
Kilimo gan unapiga mazee