Hongera mkuu kwa hatua ulio fikiaHongera sn mkuu...mm nmekaribia kumaliza kibanda changu nadhani kabla ya january kuisha ntakuwa nmeshahamia
Mimi nimeongeza muda wa kuchati kwenye Jfhabari wana chit chat..
familia nyingi zinazojielewa kwenye vikao vyao ili swali halikwepeki..
kwa familia ya wana chit chat swali ili mjiulize na kuleta majibu...
tukianza na mimi kaka mkubwa nimefungua studio ya kisasa ya kupiga picha na video za maharusi dakika za lala salama ili mwaka usiiishe mtupu... nawakaribisha wote mlete deals