Mwaka wa 1 ardhi university

Mwaka wa 1 ardhi university

Ahm bokee leh

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Wakuu naomba msaada na maelezo yenu juu ya makadilio ya kiwango cha fedha ninachostahili kufika nacho ili niweze kusajiliwa. Pia upatikanaji wa hostel utaratibu wake unakuaje. Naombeni msaada wenu wana aru wenzangu
 
Wanachuo 900 wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu ardhi, 2013/14, uwezo wa hosteli ni vijana 461 tu hivyo vijana 439 kulazimika kujitaftia makazi nje ya chuo. Taratibu za kuwataftia waliokosa makazi husimamiwa na serikali ya wanachuo ARUSO, jitahada ambazo mpaka sasa zinafanyika. Gharama za hosteli chuoni ni Tsh 120,000/= kwa semester ambapo nje ya chuo inategemea na huduma husika zitakazopatikana hapo ila si chini ya Tsh 80,000/= kwa mwezi zidisha miezi 4 jumlisha nauli na chakula. Hivyo gharama za maisha kwa wanachuo ziko juu sana ukilinganisha na boom la mkopo 75,00/= ambalo si wote wanaokopeshwa, hivyo basi kutokana na hayo hupelekea ile hali ya kubebana yaani ukipata bed basi unamshirikisha na rafikio kushare cost na kulala 2 kitanda kimoja. kwa ARU room moja ni watu wawili tu lakini utakuta kuna vijana 4 katka vitanda viwili, wawili katika korido kati ya kitanda nakitanda na wengine wawili nje balconi area ambapo hawa hujinunulia magogoro na kuingiua nayo kinyemela usiku chuoni na kufanya idadi ya vijana 8 hadi 10 chumba kimoja, kinyume kabisa nataratibu na sheria za chuo.

Vijana wanateseka sana suala zima la accomodation kutokana na hali ngumu kimaisha na mikopo kutokutosheleza. kupanga mtaani ni Tsh 60,000/= chumba, nje ya umeme na maji. hali hii ni tofauti kabisa na UDOM hivo changamoto ni nyingi kwa jiji la dar es salaam na vyuo vyake visivyo na hosteli za kutosha.

Hali halisi iko kama hivi nanukuu "[/FONT][/COLOR]Students may be offered accommodation in the University Halls of Residence or any hostel or residence rented to the University. Where campus or hostel accommodation is not available to all for residence in the campus halls or in University rented hostels, priority shall be given to students with disabilities and such other categories as Council shall determine from time to time;" cha kushangaza ni kwamba unakuta vijana wa first year wanakosa haki yao ya kuishi hostel alafu vyumba vingi vinachukuliwa na continuing students, kinyume na utaratibu. Hoja yangu ya msingi ni nani huwasajili kukaa hostel wakati hawastahili? Ikiwa ni wadeni anatoa chance hiyo basi muda umefika wa sisi wanaARU kukomesha kitendo hiki cha kuchukua rushwa na ukatili na unyanyasaji, wanachuo wanaoendelea hawapaswi kukaa hostel kwa mujibu wa sheria za ARU anavyoanza mwaka wa pili wa masomo anatakiwa kukaa nje mtaani ili apishe wageni first year wasiojua mikiki ya ugumu wa makazi mjini dar es salaam hivyo basi ni vema sheria na taratibu zikafuatwa kama sivyo tunakaribisha vurugu na migomo isiyokuwa na logic,

Nawaomba first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo hiki mnapigania haki yenu ya msingi ya kukaa hostel la sivyo hata siku ile ya kuripoti utalala nje. nakumbuka mwaka 2011 vijna 20 na mabegi yao walilala nje kwa siku nne kwenye vimbweta maarufu kwa mzee mti ati hawajapokelewa bado, safari hii ikijirudia tutaandamana kupinga ulebanoni huo unaosababishwa na njaa za mawadeni kula hongo toka kwa continuing students na kuwaacha wadogo zetu wanateseka bure.
[/QUOTE]

Tulize Hostel ni 92,000 na 82,000 per month
Ipo lufungila kituo cha daladala.

EBEN Hostel ni 45,000 na 75,000 per month
Ipo ubungo karibu na kanisa la pendekoste opposite na Emmaus Prayers Centre.
 
Hayo majina 900 ya 1st year waliochaguliwa kujiunga na Ardhi university mwaka huu yako wapi?
Kwenye website ya Ardhi University siyaoni!!
 
Nashukuru sana kwa maelezo yako yakinifu. Vp kuhusu kiwango cha pesa kinacho hitajika siku ya kuripot hapo chuon?
 
Wanachuo 900 wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu ardhi, 2013/14, uwezo wa hosteli ni vijana 461 tu hivyo vijana 439 kulazimika kujitaftia makazi nje ya chuo. Taratibu za kuwataftia waliokosa makazi husimamiwa na serikali ya wanachuo ARUSO, jitahada ambazo mpaka sasa zinafanyika. Gharama za hosteli chuoni ni Tsh 120,000/= kwa semester ambapo nje ya chuo inategemea na huduma husika zitakazopatikana hapo ila si chini ya Tsh 80,000/= kwa mwezi zidisha miezi 4 jumlisha nauli na chakula. Hivyo gharama za maisha kwa wanachuo ziko juu sana ukilinganisha na boom la mkopo 75,00/= ambalo si wote wanaokopeshwa, hivyo basi kutokana na hayo hupelekea ile hali ya kubebana yaani ukipata bed basi unamshirikisha na rafikio kushare cost na kulala 2 kitanda kimoja. kwa ARU room moja ni watu wawili tu lakini utakuta kuna vijana 4 katka vitanda viwili, wawili katika korido kati ya kitanda nakitanda na wengine wawili nje balconi area ambapo hawa hujinunulia magogoro na kuingiua nayo kinyemela usiku chuoni na kufanya idadi ya vijana 8 hadi 10 chumba kimoja, kinyume kabisa nataratibu na sheria za chuo.

Vijana wanateseka sana suala zima la accomodation kutokana na hali ngumu kimaisha na mikopo kutokutosheleza. kupanga mtaani ni Tsh 60,000/= chumba, nje ya umeme na maji. hali hii ni tofauti kabisa na UDOM hivo changamoto ni nyingi kwa jiji la dar es salaam na vyuo vyake visivyo na hosteli za kutosha.

Hali halisi iko kama hivi nanukuu "[/FONT][/COLOR]Students may be offered accommodation in the University Halls of Residence or any hostel or residence rented to the University. Where campus or hostel accommodation is not available to all for residence in the campus halls or in University rented hostels, priority shall be given to students with disabilities and such other categories as Council shall determine from time to time;" cha kushangaza ni kwamba unakuta vijana wa first year wanakosa haki yao ya kuishi hostel alafu vyumba vingi vinachukuliwa na continuing students, kinyume na utaratibu. Hoja yangu ya msingi ni nani huwasajili kukaa hostel wakati hawastahili? Ikiwa ni wadeni anatoa chance hiyo basi muda umefika wa sisi wanaARU kukomesha kitendo hiki cha kuchukua rushwa na ukatili na unyanyasaji, wanachuo wanaoendelea hawapaswi kukaa hostel kwa mujibu wa sheria za ARU anavyoanza mwaka wa pili wa masomo anatakiwa kukaa nje mtaani ili apishe wageni first year wasiojua mikiki ya ugumu wa makazi mjini dar es salaam hivyo basi ni vema sheria na taratibu zikafuatwa kama sivyo tunakaribisha vurugu na migomo isiyokuwa na logic,

Nawaomba first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo hiki mnapigania haki yenu ya msingi ya kukaa hostel la sivyo hata siku ile ya kuripoti utalala nje. nakumbuka mwaka 2011 vijna 20 na mabegi yao walilala nje kwa siku nne kwenye vimbweta maarufu kwa mzee mti ati hawajapokelewa bado, safari hii ikijirudia tutaandamana kupinga ulebanoni huo unaosababishwa na njaa za mawadeni kula hongo toka kwa continuing students na kuwaacha wadogo zetu wanateseka bure.

Tulize Hostel ni 92,000 na 82,000 per month
Ipo lufungila kituo cha daladala.

EBEN Hostel ni 45,000 na 75,000 per month
Ipo ubungo karibu na kanisa la pendekoste opposite na Emmaus Prayers Centre.[/QUOTE]

Umeeleza vizuri sana, ila kuna jengo lilifanyiwa renovation maeneo ya Calabash pub (uwa najivinjali hapa) kwa sasa tunaona wanafunzi wa Ardhi wakiishi hapa. Ningependa utolee maelezo na hilo jengo nasikia wamelipa jina la survey plaza.
 
Jerhy

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom