Mwaka Wa 20 Sijaugua Malaria

Usiwe na wasi wasi hakuna tatizo. Cha kuzingatia ni kujikinga na mbu, usijiachie tu wakung'ate wanavyotaka; si vibaya ukiwa na tabia ya kucheki ili siku ikiingia uwahi kuitibu.
Asante mkuu,Nitazingatia ushauri wako mzuri
 
So wewe ni O+ hiyo nzuri tatizo ni pale utakapohitaji damu ..balaa!!!! heri sie kina AB..twapokea kote!

Apo kwenye malaria mbe labda tumuite mtaalamu Mzizi mkavu
Kwani Arawa wewe mara ya mwisho umeugua Lini?
 
sasa usimkandamize mume wangu Mentor kwa magonjwa wakati namfanyia maombi mazito na yenye upako wa nguvu sana USHINDWEE NA ULEGEE Rural Swagga unalo la nyongeza?
 
Last edited by a moderator:
sasa usimkandamize mume wangu Mentor kwa magonjwa wakati namfanyia maombi mazito na yenye upako wa nguvu sana USHINDWEE NA ULEGEE Rural Swagga unalo la nyongeza?
 
Last edited by a moderator:
sasa usimkandamize mume wangu Mentor kwa magonjwa wakati namfanyia maombi mazito na yenye upako wa nguvu sana USHINDWEE NA ULEGEE Rural Swagga unalo la nyongeza?
Ndugu wa mume hatukutambui,Na tumeshaongea na babu kule migombani anasema libwata ulilompa kaka yetu mwaka huu linakwisha mbona utakoma.Mwanamke gani kila siku ugomvi na mashemeji/mawifi,Eti unadai tunamaliza mali za mumeo Mentor,wakati sisi ndio tulokua tunaokota maparachichi yaliyomsomesha kaka yetu kipenzi Mentor leo hii hautaki hata kutuona.Mentor huyu Mmachame hakufai anataka hiyo nyumba hapo kigamboni ati.
 
Iwapo kuna miongozo ya kitabibu mimi sintoidhaharau hata hivyo kama hujaugua usijisifu BALI mshukuru MUNGU kwa ulinzi wake katika miaka hii yote.Ahsante
 
Mrudishie muumba wako sifa na utukufu kwa kukujalia afya njema, kwa kuwa wengine wana malaria sugu.
 
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
wewe utakua na kinga kubwa sana.zamani hata mimi nilikua navuta hadi ten years.ila nimeshuka kidogo labda mbu wameongezewa payload ya vimelea.
 
Ila cku ukiugua tutasema byebye maana mwili wako utakuwa hauna kinga dhidi ya malaria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…