KERO Responded Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari, ndugu mteja.

Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kukujibu kuhusu suala hili. Tulikumbana na changamoto ya muda kwenye akaunti yetu, lakini kwa sasa huduma zimerejea katika hali ya kawaida.

Pole sana kwa changamoto uliyopitia. Kutokana na muda uliopita tangu ulipowasilisha taarifa hii, tuliendelea kufanya ufuatiliaji wa hali ya huduma katika eneo lako ili kupata taarifa sahihi na ofisi husika ilitoa mrejesho kua ilifanyiwa kazi.

Kama hii hali imejirudia au kuna changamoto nyingine, tafadhali, tunaomba utujuishe.

Asante kwa ushirikiano wako. ^PK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…