Mwaka wa Fedha 2019/20 Tsh. Bilioni 132.08 Zilitumika bila Kuripotiwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa

Kiasi hicho kimepungua kwa 76% ambapo mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Tsh. Billioni 553.38 kilitumika bila kuripotiwa

Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka
 
emoji15.png
emoji15.png
emoji2827.png
 
Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka[emoji15][emoji15][emoji2827]

Huyo alikuwa mwizi jiwe katika ubora wake 😁😁
 
Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka[emoji15][emoji15][emoji2827]
Kwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusi
 
Nchi hii ukitaka kufanya mradi mkubwa kama vile ujenzi wa bwawa la umeme ukafuata sheria tegemea kukwamishwa au kucheleweshwa
 
Jiwe alikuwa na akili sana. Sector nyingi zilikuwa zina-under-estimate revenue.
Na ultimately wana- declare loss.
 
Mbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa

Kiasi hicho kimepungua kwa 76% ambapo mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Tsh. Billioni 553.38 kilitumika bila kuripotiwa

Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka
Uwiii
 
Kwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusi
Swali zuri sana, maana wizara zote kwa mfumo wa jiwe fedha ilikuwa inaenda (hivi ni Hazina au BOT am also not sure aise) sehemu moja, then from there ndiyo ziende kwenye miradi.

Labda zitakuwa za wafadhili, but again mfano hizi za covid za juzi Trilioni 1.3 si zitakuwa zimeingizwa Hazina kwanza?
 
Kwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusi
Imeisha iyo.. Tugange yajayo
 
Back
Top Bottom