Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka[emoji15][emoji15][emoji2827]
Mzalendo no 1[emoji15][emoji2827]Huyo alikuwa mwizi jiwe katika ubora wake [emoji16][emoji16]
Mzalendo no 1[emoji15][emoji2827]Huyo alikuwa mwizi jiwe katika ubora wake [emoji16][emoji16]
Kwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusiAidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka[emoji15][emoji15][emoji2827]
Bora mwizi ambae tukiona alichokuwa anafanyaHuyo alikuwa mwizi jiwe katika ubora wake [emoji16][emoji16]
UwiiiMbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa
Kiasi hicho kimepungua kwa 76% ambapo mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Tsh. Billioni 553.38 kilitumika bila kuripotiwa
Aidha katika mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 2,025.67 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi bila kupelekwa Hazina kama Sheria inavyotaka
Haa HaaTunaolinda Legacy tutambuane. Hii ndio legacy ya kuitetea, sheria hazikuwa na mashiko kabisa
Bora mwizi ambae tukiona alichokuwa anafanya
Swali zuri sana, maana wizara zote kwa mfumo wa jiwe fedha ilikuwa inaenda (hivi ni Hazina au BOT am also not sure aise) sehemu moja, then from there ndiyo ziende kwenye miradi.Kwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusi
Imeisha iyo.. Tugange yajayoKwani nani anakusanya na kutoa pesa..Najua ni hazina..je hizo zilizopelekwa kwenye miradi bila kupitia hazina zilipelekwa zikitoka wapi?je zilikiwa hizi pesa za wafadhili kwenda kwenye miradi ya NGOs au vipi?tupewe ufafanusi