starspoint21
Member
- Nov 18, 2017
- 33
- 12
Mwaka limetengenezwa.gari ni ya mwaka 2007 au 2012.wanamanisha hilo gari limetengenezwa mwaka huo au ni toleo la mwaka huo tajwa?
Shukrani mkuu.Kwa mwandiko huo anyway umeeleweka
Shukrani mkuu. So ina maana mwaka huu ukinunu gari la mwaka 2007 ni kwamba umenunu gari ambalo lina miaka 11.[emoji22]Mwaka limetengenezwa.
Na Wanaposema ni namba D, A,.C inamaanisha nn?
Shukrani mkuu. So ina maana mwaka huu ukinunu gari la mwaka 2007 ni kwamba umenunu gari ambalo lina miaka 11.[emoji22]
Tena utasikia mbongo anakuambia ameagiza gari mpya tena new model...magari mengi tunayoyaona barabarani ni mitumba iliyochokwa na wajapaniShukrani mkuu. So ina maana mwaka huu ukinunu gari la mwaka 2007 ni kwamba umenunu gari ambalo lina miaka 11.[emoji22]
Kwa kuongezea.Namba Za Usajili, Za zamani kabisa zinaanza na A wakati mpya kabiza zinaanza na D mpaka sasa hv ila D zikiisha zitaanza tena E
Kwahiyo ikianza na kwamfano T 859 AYD ujue haya magari yapo toka enzi za mwalimu nchini
Hahaha acha ata tujifariji kwa maneno mkuu..Tena utasikia mbongo anakuambia ameagiza gari mpya tena new model...magari mengi tunayoyaona barabarani ni mitumba iliyochokwa na wajapani
Hapa ndio swala la kujua limetembea kilometre ngapi linahusika?Exactly lakini kama utaagiza ni kwamba halijatumika nchini, ila limetumika huko kwa wenzetu