Mwaka wa kwanza vyuo vikuu

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
Ni kwamba wale wote waliofungua vyuo kwa mwaka wa kwanza watarudi nyumbani kupisha mafunzo ya jkt awamu ya 3

SOURCE:MWALIMU
 
sawa watapisha awamu ya tatu kumbuka yale majina yameishia J na waliobaki je...?? kama wataenda hiko chuo kitakua lini na hiyo source yako ni mwalimu wa chuo gani....?
 
Ni kwamba wale wote waliofungua vyuo kwa mwaka wa kwanza watarudi nyumbani kupisha mafunzo ya jkt awamu ya 3

SOURCE:MWALIMU

Huyo mwalimu ana hekima sana...
tena ikiendelea atakuwa kama mwl. JK Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…