Mwaka wa neema, tupige hesabu vizuri

Mwaka wa neema, tupige hesabu vizuri

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Mwaka huu mwaka wa neema sana, japo changamoto hazikosekani kabisaa.

Wale wenzangu na mimi wa kununua mazao na kuyatunza na kusubiri bei ipandee mwaka huu mnatakiwa kitumia hesabu kali sana za if X=Y, then find X.

Hivyo, kuna mawili, chakula kuwa kingi na kushuka bei kwa kua mvua ilikua ya uhakika, au mvua imezidi ikaondoa kila kitu.

Mpaka sasa nikipig simu huku na kile naambiwa mwaka huu neema, mpunga unachanua mpaka wanafunga maji, mtama,uwele,ni hatari zinachanua

Nahisi Alizeti mwaka huu zitakua dili sanaa.

Nimewaachia tafakuri hii ya usiku

Asanteni
 
Analysis yangu ya zao la mpunga kwa mkoa wa morogoro uko hivi:

Kwamsimu huu wa 2019/2020 mvua zimenyesha nyingi mnoo na kusababisha baadhi ya wakulima kuchelewa kupanda mbegu mpaka hivi ninavyooandika hii comment bado kuna watu wapo na mbegu ndani.

[emoji117]Kwa element hii itasababisha zao la mpunga kwa mkoa wa morogoro kuanza kwa bei ya juu kidogo tofaut na msimu wa 2018/2019 na kumalizia na bei ya juu zaid ya msimu uliopita.

Iko hiv,,,,
[emoji117]Mvua zikiwa nyingi sana bei inapanda kwa kiasi
[emoji117]Mvua zikiwa constant bei itakua chini/normal coz mavuno yatakua mengi
[emoji117]Kukiwa na ukame LAZMA bei ipande kupindukia coz mavuno yatakua machache kutoka na wakulima kushindwa kupata mavuno yakutosha na waliopata bac n wale wa kilimo cha kumwagilia

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, DO WHAT TO DO,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

KAMA UNAMTAJI NI MUDA WA KWENDA KUNUNUA STOCK YA MPUNGA NA KUSUBIRI BEI KUPANDA THEN THANK ME LATER [emoji120]
Mwaka huu mwaka wa neema sana, japo changamoto hazikosekani kabisaa.

Wale wenzangu na mimi wa kununua mazao na kuyatunza na kusubiri bei ipandee mwaka huu mnatakiwa kitumia hesabu kali sana za if X=Y, then find X.

Hivyo, kuna mawili, chakula kuwa kingi na kushuka bei kwa kua mvua ilikua ya uhakika, au mvua imezidi ikaondoa kila kitu.

Mpaka sasa nikipig simu huku na kile naambiwa mwaka huu neema, mpunga unachanua mpaka wanafunga maji, mtama,uwele,ni hatari zinachanua

Nahisi Alizeti mwaka huu zitakua dili sanaa.

Nimewaachia tafakuri hii ya usiku

Asanteni

@YoungJigger
 
Back
Top Bottom