Wewe zama tu DM unachombeza hadi unapewa namba ,mki meet unaomba kabisa goma [emoji23][emoji23]Ebu sema kweli mkuu...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Maana isije ikawa wengine tunachezea bahati humu wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi silijui hilo.Muongo huyo wa sakayo
Mbona haujibu MP yangu sasa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Fanya haraka.
Ule uzi wa jana hukuuona na wewe!!! Au ulisoma kidogo tu
Hahahaaa!! Mbona hamna ubuyu hata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo hufanani nae hata
Auntie halafu huyu mpare si unajua walivyo wabahili hapa hutapata ata mia
Kweli kabisa, ulichopewa na mungu kumnyima binadamu mwenzio dhambi.
@shunie hebu kalale usitupigie kelele.
Wewe na nani?
Yupi sasa, na nimemfantia nini?Naongea na wewe auntie haiwezekani umfanyie mtoto wako hivyo
Mkuu, heshima yako kwa kunipa maujanja....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Wewe zama tu DM unachombeza hadi unapewa namba ,mki meet unaomba kabisa goma [emoji23][emoji23]
Wala usiwe na mashaka mama tuliza mtimaUnaanza kunipa mashaka rafiki.
Hamna shida, na kwenye urithi nimewafuta rasmi.Hapana unataka kula mafao ya auntie yetu