@sakayo mwambie awe na adabu kwa uncle zake, lasivyo nitamuachia laana.Auntie sijakuelewa ujue nitaiachaje sasa nasahau vipi pichu kwake sasa
Sio pemben tu bali akae mita 100000.
Eeewalaaaaa!
Sijagombania, mioyo imedondokeana.Aje na yy nimsikie sasa auntie kama mmetalikiana ndio ugombanie mwanaume na mtoto wako
Hahaa..kwanini laki?
[emoji23] [emoji23] shunie nina RB yakoAuntie halafu huyu mpare si unajua walivyo wabahili hapa hutapata ata mia
@shunie hebu kalale usitupigie kelele.
Hapana hizo mmerithi kwa bibi yenu, mie sina hizo tabia kabisaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie ujue tumekurithi
Yupi sasa, na nimemfantia nini?
Nishajibu, nawe kanijibu haraka.
Hamna shida, na kwenye urithi nimewafuta rasmi.
Basi ndio maana.Sijarudi leo
Rafiki kwema?
Ohhhppppssss......Nishajibu, nawe kanijibu haraka.