Unaonea na mimi auntie?
Ndio.Khaaaa auntie
😛😛😛😛😛😛😛Asante sana mkuu, maana tayari kunamtu alikua amesha anza kunisuta...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana unataka kula mafao ya auntie yetu
Unaanza kunipa mashaka rafiki.
Ebu sema kweli mkuu...[emoji15] [emoji15] [emoji15]100% sure nina experience
Ule uzi wa jana hukuuona na wewe!!! Au ulisoma kidogo tuKwani mlionana jana
Na pichu ukaiache.
Hebu mlete sakayo amsalimie uncle wake mtarajiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache kabisa kaa pembeniHivi ni wewe kweli mshipa ninayekujua kwahiyo unataka kulelewa na auntie yetu ule mafao yake
Akija mwambie namdai vitenge vyangu.
Kwahiyo huniamini mimi auntie yako?????
Tushatalikiana.
Kweli kabisa, ulichopewa na mungu kumnyima binadamu mwenzio dhambi.Na kumnyima mtu kitu dhambi auntie akiomba
Wewe na nani?Sisi hatukutaki
Yeleiwiiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]