Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 27, 2025 #1 Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jan 27, 2025 #2 Mwenzako Lucas Mwamshamba akishapewa kofia na tisheti baaasi kwisha kazi