Elections 2010 Mwakalebela aiteka kampeni ya JK Iringa

Hivi kuna wilaya ngapi Tanzania?? Maana kina kukicha nasikia mtu kaahidiwa u-DC!!!

Hiyo lahisi saana nikuzifanya tarafa zoote nchini ziwe wilaya simple sasa nani atakosa uongozi hapo fadhila lazima zilipwe tuu!!
 
aliyeshangiliwa ni mwanachama wa ccm. Kashangiliwa kwenye mkutano wa kampeni ya mgombea wa ccm. Nyie kelele kama wendawazimu za nini?

wee vaticano acha kutumia hilo jina la mji mtakatifu wakati unashabikia mafisadi. Papa hapendi ufisadi
 
wee vaticano acha kutumia hilo jina la mji mtakatifu wakati unashabikia mafisadi. Papa hapendi ufisadi

Papa mwenyewe fisadi. Sijui atakuwa keshawalawiti watoto wangapi kabla ya ule moshi mweupe kumuwakia. Teh teh teh.
 
Hivi kuna wilaya ngapi Tanzania?? Maana kina kukicha nasikia mtu kaahidiwa u-DC!!!
zipo nyingi tu, zikiisha wataanzisha nyingine... fadhila ndio dhima ya "chama chetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…